BBC SWAHILI

BBC SWAHILI

Jumatatu, 9 Februari 2015

UONGOZI WA MSANII CHRIS BROWN UPO TAYARI KUFANYA KAZI NA MSANII WA TANZANIA ALI KIBA

Uongozi wa muziki nchini marekani unao muongoza msanii wa R&B Chris Brown umetoa taarifa kwa uongozi wa muziki Tanzania unao muongoza msanii kutoka Tanzania ALI KIBA msanii ambae yupo chini ya uongozi wa Kampuni za SAMSUNG. Kwa taarifa zilizopo katika mtandao wa VIP Beats nchini marekani zinaeleza kua tarehe 24 mwezi wa 11 mwaka 2014 uongozi wa msanii Chris Brown ulipokea maombi ya muungano wa wasanii wawili kufanya wimbo wa pamoja kati ya msanii Ali kiba na Chris Brown maombi hayo yaliambatanishwa na Softcopy zilizobeba nyimbo tatu za msanii Ali kiba ikiwemo SINGLE BOY, MWANA pamoja na wimbo aliofanya katika project ya ONE 8. Uongozi wa Chris Brown umethibitisha kupokea taarifa za maombi hayo na umeonesha kupenda sauti ya msanii Ali kiba na kutoa tamko kua wapo tayari kusimamia kazi ya pamoja itakayofanywa na wasanii hawa. Upande wa msanii Chris Brown amesema hana tatizo yupo tayari kushirikiana na msanii Ali kiba kwani alipata nafasi ya kutazama project ya One 8 na ameona kiwango cha msanii Ali kiba kinaridhisha japokua anahitaji marekebisho madogo sana. BBC SWAHILI Tunampongeza msanii Ali kiba kwa juhudi zake tunamtakia kila lakheri katika kazi hii, kuipata habari hii kamili tembelea mtandao wa VIP Beats, Channel 0 au unaweza kuipata katika American Spring news.

Jumanne, 20 Januari 2015

WEMA SEPETU HATIANI KUFILISIWA MALI ZAKE AMFUNGULIA KESI DIAMOND

Msanii wa filam Tanzania na aliekua Miss Tanzania mwaka 2006 "WEMA ABRAHAM SEPETU" amemfungulia kesi ya madai aliekua mpenzi wake wa zamani DIAMOND PLATNUMZ kwa kumripoti katika kituo cha polisi OSTERBAY kwa kudai kumtapeli kiasi cha Shillingi Million 10 ambazo alimpatia kwa makubaliano ya kazi na kuahidi kua angemlipa lakini makubaliano yao yamekwenda kinyume na ahadi. Kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa na Muhusika mkuu WEMA SEPETU alisema kua.


"NAONA WATU WENGI WAKINILAUMU KWANINI NIMEMFUNGULIA KESI DIAMOND PASIPO KUELEWA KAMA ZILE PESA HATA MIMI HAZIKUA PESA ZANGU, ZILE PESA NI PESA ZA MKOPO, MKOPO AMBAO NILIINGIA DHAMANA MIMI KATIKA TAASISI YA UTOAJI MIKOPO VICOBA KUPITIA MFUKO WA FOCUS VICOBA NIKACHUKUA ULE MKOPO KWA LENGO LA KUMPATIA DIAMOND ILI AWEZE KUANDAA PROJECT YAKE TENA KWA MAKUBALIANO KUA ANGEZIRUDISHA ILI TUWEZE KUFANYA MAREJESHO YA MKOPO TULIO CHUKUA, MUDA TULIO PEANA AHADI YA KURUDISHA HIZO PESA UMEPITA MWENZANGU HAONESHI DALILI YA KURUDISHA NAMIMI NAHITAJIKA KUREJESHA PESA ZA WATU MNADHANI NINGEFANYAJE? NIMEKUA NIKIMPIGIA SIMU ZANGU HATAKI KUPOKEA, KAMA ALIKUA ANATAKA KUNIDHULUMU NIBORA ANGEJIUNGA YEYE NA HAWA VICOBA AKAPATIWA MKOPO AU KAMA ALIKUA ANAONA HAWEZI KWENDA KUJIUNGA APEWE MKOPO KWA KUJISTUKIA BASI ANGETUMIA KUOMBA MKOPO KATIKA ILE TOVUTI YAO WANGEMPATIA MKOPO NA HAKUNA MTU YOYOTE ANGEJUA KAMA AMEKOPA ILA SIO KUNIDHULUMU PESA YA WATU, LAITI KAMA ANGEFUNGUA HII TOVUTI YA VICOBA  www.vicobatanzania.wapka.mobi AKAJIUNGA NAKUPEWA HUO MKOPO AKAFANYIA MAMBO YAKE YOTE HAYA YASINGETOKEA ILA MIMI SINA JINSI ZINATAKIWA PESA ZA WATU"


Msanii Diamond ambae kwasasa yupo nchini Burundi kwa ajili ya ziara yake kimuziki ametumiwa salamu na jeshi la polisi kwa barua ya wito kufika polisi pindi atakaporudi Tanzania, barua hiyo ya wito wa polisi imefikishwa nyumbani kwa mama mzazi wa Diamond huku Wema akiwa hatiani kufirisiwa mali alizo andikisha wakati wa kuchukua mkopo huo ili ziuzwe kufidia deni la mkopo alio chukua. Upande wa Taasisi ya utoaji mikopo VICOBA kupitia uongozi wa FOCUS VICOBA wanadai kua 


"NIKWELI MSANII WEMA SEPETU ALIFIKA KATIKA OFISI ZETU ZILIZOPO MNAZI MMOJA DAR ES SALAAM NA KUHITAJI KUCHUKUA MKOPO KATIKA TAASISI YETU TULIMUOMBA KUFATA TARATIBU ZA KIOFISI KAMA WANACHAMA WENGINE WANAVYOFANYA KATIKA VIKUNDI VYETU LAKINI HAKUWEZA KUKUBALIANA NA UTARATIBU WETU WA KIOFISI KWANI HAKUPENDA KUJICHANGANYA NA WATU HIVYO TUKAMSHAURI ANAWEZA KUJIUNGA KUPITIA ONLINE KATIKA TOVUTI YETU TULIYO IZINDUA AMBAYO WATANZANIA WENGI WANATUMIA KUJIUNGA NA KUPATIWA MIKOPO, TOVUTI TUKAMPATIA AMBAYO NI HII HAPA www.vicobatanzania.wapka.mobi NA ALIJIUNGA KUPITIA ONLINE KATIKA HIYO TOVUTI NA TULIMPATIA KWELI MKOPO KIASI CHA MILLION KUMI, TUNATHIBITISHA HILO"